Frequently Asked QuestionsMaswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Quick answers about shipping, customs clearance and tracking with First Vision Cargo.Majibu ya haraka kuhusu usafirishaji, forodha na ufuatiliaji wa mizigo na First Vision Cargo.
What does First Vision Cargo do?First Vision Cargo inafanya nini?
First Vision (T) Ltd is a freight forwarding company in Dar es Salaam. We ship cargo by sea, air and road, clear it through customs and deliver it across Tanzania.First Vision (T) Ltd ni kampuni ya usafirishaji wa mizigo iliyopo Dar es Salaam. Tunasafirisha mizigo kwa bahari, anga na barabara, tunaitoa forodhani na kuifikisha kote Tanzania.
How do I track my shipment?Ninafuatiliaje mzigo wangu?
Enter your booking, container or B/L number in the Track My Shipment box at the top of this page, or use the First Vision Cargo app.Andika namba yako ya booking, kontena au B/L kwenye kisanduku cha Fuatilia Mzigo Wangu juu ya ukurasa huu, au tumia app ya First Vision Cargo.
How long does shipping from China to Tanzania take?Kusafirisha mzigo kutoka China hadi Tanzania huchukua muda gani?
Sea freight typically takes 25 to 35 days to Dar es Salaam including port stops, plus customs clearance. Air cargo is faster and suits urgent goods.Usafirishaji wa bahari kwa kawaida huchukua siku 25 hadi 35 hadi Dar es Salaam pamoja na kusimama bandari za njiani, kisha forodha. Ndege ni ya haraka zaidi na inafaa kwa mizigo ya haraka.
Where are your offices?Ofisi zenu ziko wapi?
In Tanzania: 8th Floor, Old Ushirika Towers, Lumumba St, Dar es Salaam - Tanzania. In China: Room 2803, No. 1, Building 4, Zhongfu square, Futian district Yiwu city, Jinhua City, Zhejiang province, China.Tanzania: 8th Floor, Old Ushirika Towers, Lumumba St, Dar es Salaam - Tanzania. China: Room 2803, No. 1, Building 4, Zhongfu square, Futian district Yiwu city, Jinhua City, Zhejiang province, China.
Do you deliver outside Dar es Salaam?Mnafikisha mizigo nje ya Dar es Salaam?
Yes. Cleared cargo is delivered by road to Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Morogoro, Tanga and other towns across Tanzania.Ndiyo. Mizigo iliyotolewa forodhani hufikishwa kwa barabara Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Morogoro, Tanga na miji mingine Tanzania.
How do I get a quote?Ninapataje bei?
Call or WhatsApp +255 678 880 880, or email info@firstvision.co.tz, with what you are shipping, where from and where to.Piga simu au tuma WhatsApp +255 678 880 880, au barua pepe info@firstvision.co.tz, ukitaja unachosafirisha, kinapotoka na kinapokwenda.